Nyuma
Jaribu Tena
Hakikisha
Chagua kweli au si kweli katika sentensi zifuatazo.
Sentensi
Kweli
La
1. Halima amekuwa jasiri. Amekuwa-ni kitenzi kishirikishi kipungufu.
>>
>>
2. Kile kingalikuwa chake angefurahi. Kingalikuwa- ni kitenzi kishirikishi kikamilifu.
>>
>>
3. Fatuma alikuwa shangaziye Juma-alikuwa – ni kitenzi kishirikishi kikamilifu.
>>
>>