|
Onyesha vitenzi katika mifano ifuatayo na ueleze ni vitenzi vya aina gani.
a) Wamejitahidi kumwuguza mgonjwa.
b) Mwalimu wetu ni mkarimu.
c) Wanafunzi watakuwa wangali wanasoma.
d) Mama anapika.
e) Yeye ndiye mkuu wa idara.
|