Vuta na upachike aina za vitenzi katika nafasi ulizotengewa.
a) Ng’ombe wawili wamenunuliwa KN -.

b) Huyu atatueleza KN -.

c) Kiti kimekarabatiwa KN -.

d) Hawa waadilifu hutunzwa KN -.

e) Juma na Hamisi ni waigizaji KN -.