Vuta na kujaza muundo wa kikundi kitenzi unaofaa kwa kila sentensi uliyopewa.
Ts + T, t+V+E, t+W, T+N+V, t+E.
1. Wanafunzi wamepanda miti mingi
2. Panya yumo kabatini
3. Lake ni hili
4. Wanafunzi walikuwa wakila
5. Haya si mabichi sana
Ts+T
t+V+E
T+N+V
t+E
t+W