Jaza nafasi iliyowachwa wazi kwa aina ya shamirisho inayofaa kwa kuzingatia maneno yaliyopigiwa mstari:(chagizo, kitondo, kipozi, ala/kitumizi).
1.Baba amenunua baiskeli nzuri.
2. Nimemwandali mgeni chakula kitamu.  
3. Mhubiri aliwahubiria waumini habari njema kwa kipaza sauti.  
4. Watoto wanacheza mpira kwa furaha.  
5. Mwalimu amenisahihishia insha.
6.Mbwa waliwafukuza majambazi hao jana jioni.
7. Mwanamasumbwi ameshinda mwenzake vibaya sana.
8.Mfisadi ameshtakiwa na tume ya kupambana na ufisadi nchini kwa kufuja mali ya umma.
9. Uji tamu umepikwa na nyanya sasa hivi.
10. Mohammed ataandika barua pepe kwa tarakirishi.