Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Andika kweli au la iwapo kundi la maneno lililopigwa mstari linaoana na maelezo kwenye mabano.
Sentensi
Kweli
La
1. Mwanasayansi mbunifu amepewa tuzo la kimataifa (kirai nomino).
>>
>>
2. Shati lenye uchafu limefuliwa. (kirai nomino).
>>
>>
3. Njoo hapa sasa hivi (kirai kivumishi).
>>
>>
4. Mtoto amelala ubavuni mwa mamake. (kirai kihusishi).
>>
>>
5. Mfanyikazi huyo fisadi ameshtakiwa.(kirai kivumishi).
>>
>>
6. Baba alienda mjini Nairobi jana jioni. (kirai kivumishi) .
>>
>>
7. Mwanariadha mwenye tumbo kubwa ameshinda nishani.(kirai kivumishi).
>>
>>
8. “Lo! Kumekucha mara moja hii!” Akasema mgeni. (kirai nomino).
>>
>>
9. Magonjwa yaliyowasononesha kuwa yalitokana na kutozingatia lishe bora. (kirai nomino).
>>
>>
10. Uhalifu umepungua kwa kuwa raia wanashirikiana na polisi. (kirai kielezi).
>>
>>