|
Andika sehemu ya kishazi tegemezi katika sentensi zifuatazo. Iwapo sentensi ina vishazi viwili tegemezi, tenganisha kwa mshazari.
a) Ningalimwona ningalimwambia.
b) Kunawa mikono kila mara huepusha magonjwa ya maambukizi.
c) Ingawa amenisingizia nimemsamehe.
d) Kisa kilichosimuliwa na nyanya kiliwasisimua sana.
e) Utakapozuru mjini mjulie hali Kairichi.
|