Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Tambua kama ni kweli au la kuhusu sifa za sajili ya viwandani.
Sentensi
Kweli
La
1. Hutumia lugha rasmi.
>>
>>
2. Hutumia msamiati wa kisheria.
>>
>>
3. Hurudiarudia baadhi ya maneno.
>>
>>
4. Kuna kuchanganya ndimi.
>>
>>
5. Haitumii lugha ya nidhamu, heshima au unyenyekevu.
>>
>>
6. Kuna kukatazana kalili.
>>
>>
7. Haizingatii mtindo maalum wa kuanzisha, kuendeleza na kutamatisha mazumgumzo.
>>
>>
8. Mnenaji huruhusiwa kutumia lugha atakavyo.
>>
>>
9. Huwa na sentensi fupi fupi.
>>
>>
10. Hukatiza usemi wa mnenaji.
>>
>>