.
Jaza jedwali lifuatalo kwa kauli zifaazo. kutenda kutendua kutenduka kutendama kutendata.
Kutenda Kutendua Kutenduka Kutendama Kutendata
Funga
Funguka
Fungama
-
Ficha
Fichua
Fichuka
-
Kunja
Kunjua
Kunjuka
-
Paka
Pakua
-
-
Choma
Chomoa
-
-