|
Unda vitenzi kutokana na nomino na vivumishi vifuatavyo.
a) Hamasa .
b) Uhai .
c) Ratiba .
d) Nadhifu .
e) Refu .
f) Adhimu .
g) Nene .
h) Rembo .
|