Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kuandika kivumishi sahihi kutoka kwa vivumishi ulivyopewa mabanoni: (-eupe, -kubwa, -ema, -zuri, -refu).
a) Kiongozi aliwasaidia wananchi wote.

b) Chamakinachoendeleza vijana kimeanzishwa nchini.

c) Jopo linawahoji wafanyikazi wapya.

d) Sukari ilitokana na kazi ya wakulima wa eneo hili.

e) Msumeno ulinunuliwa na seremala wa shule.