Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Chagua ‘kweli’ au ‘si kweli’.
Sentensi
Kweli
Si Kweli
1. ‘Ku’ katika sentensi ya kwanza husimamia kiambishi cha ngeli.
>>
>>
2. Sentensi ya pili huonyesha ukanusho wa wakati uliopita.
>>
>>
3. Sentensi ya tatu huonyesha mahali.
>>
>>
4. Sentensi ya nne husimamia kiwakilishi cha nafsi ya pili (umoja).
>>
>>