|
Jaza nafasi zilzoachwa kwa kuzingatia matumizi yafaayo ya -ndi- .
a) Kisu hiki kilichonolewa.
b) Ulezi huu unaopendeza.
c) Mafuta haya ya kupikia mahamri.
d) Nyumba hizi zitakazobomolewa.
e) Mahali humu alimojificha panya.
|