Nyuma
Jaribu Tena
Hakikisha
Chagua majibu sahihi ya matumizi ya kiambishi -Ji-
Sentensi
Kweli
La
1. Hutumiwa kama kiambishi cha mahali.
>>
>>
2. Hutumiwa kama kiambishi cha ngeli.
>>
>>
3. Hutumiwa kuonyesha dharau.
>>
>>
4. Hutumiwa kama kiambishi cha urejeshi katika nafasi zote tatu.
>>
>>
5. Hutumiwa kama kiambishi cha kukanusha.
>>
>>
6. Hutumiwa kuonyesha ukubwa wa nomino.
>>
>>
7. Hutumiwa kuonyesha masharti.
>>
>>
8. Hutumiwa mwishoni mwa nomino kuonyesha hali ya mazoea au mtu anayefanya jambo fulani.
>>
>>