1) Tambua viunganishi katika sentensi hizi.
a) Ametupasha ukweli ingawa simwamini.    .

b) Japo aliongea kwa sauti hakuna aliyesikia.   

c) Alipita mtihani ijapokuwa alikuwa mgonjwa.  

d) Nilifanya kila juhudi ila yeye hakutaka kurudi kusoma tena.   

e) Si vizuri kuwadharau walimu namna hiyo.