|
Tumia viunganishi mwafaka kuunganisha sentensi hizi: japo, lakini, namna, ijapokuwa, ila, wala, ingawa, kwa kuwa.
a) Husoma bila miwani yeye ni mzee.
b) Basi linakwenda vizuri lilipata panchari jana.
c) Wanasherehekea mjukuu wa kwanza amezaliwa.
d) Musa an apes nyingi hawajibiki nyumbani.
e) Ni mrembo hana mwingiliano mwema na watu.
|