|
Tumia neno mwafaka kujaza pengo. (angali, kwa, wala, ndiye, ikiwa).
a) Si mrefu si mfupi.
b) utasoma vizuri nitakupa zawadi.
c) Sitaki wali chapati.
d) Hutapita mtihani utaendelea kuzembea kazi.
e) Siendi Kisumu Mombasa badala yake nitaenda Mulala.
|