Tumia neno mwafaka kujaza pengo. (walakini, wala, labda, ila).
a) Vijana hawa sharti waadhibiwe; hawakusoma    kuandika chochote.

b) Ana uwezo wa kufanya kazi    anamtegemea nduguye.

c) Baada ya kunyeshewa na mvua hiyo kubwa   ataugua homa ya mapafu.

d) Hebu mpe dawa    pata nafuu.

e) Rehema ana nguo maridadi    ina mashimo.