Tumia viunganishi :na, sembuse, ilhali kukamilisha sentensi.
a) Aliweza kupambana na majambazi wanne    mmoja.

b) Hakuhudhuria arusi hiyo   alipata barua ya waliko.

c) Waliweza kushinda timu ya masimba katika mchezo wa raga  timu ya Batuitui.

d) Mama anapika chakula   ,baba anasoma gazeti.

e) Juma anasoma   Kamau anapiga gumzo.

f) Mawaziri   manaibu wao walichangia katika mjadala huo.