Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa neno KWELI au LA.
Sentensi
Kweli
La
1. Utandawazi una kisawe cha utandaridhi.
>>>
>>>
2. Dhana ya utandawazi ilitokea katika ulimwengu wa tatu.
>>>
>>>
3. Uunganishwaji ni nguzo muhimu ya utandawazi.
>>>
>>>
4. Tarakilishi si chombo muhimu katika mikakati ya teknolojia ya habari na mawasiliano.
>>>
>>>
5. Teknolojia ya habari na mawasiliano inahusu kuzalisha, kuendesha, kuhifadhi,kuwasilisha na kusambaza habari.
>>>
>>>