|
Kutokana na video ulizotazama, bonyeza ni aina gani biashara inayoendelea miongoni mwa uliyopewa.
a) Mtu anatoa pesa, mtu analipa deni
b) Anapiga hesabu, anagawa bidhaa .
c) Kamera za kisiri, wanatazama televisheni
d) Fedha za kigeni, thamani ya fedha za kigeni
e) Thamani ya fedha kigeni, mauzo ya hisa
f) Bango la matangazo,video
g) Bishara meme, barua meme
h) Matangazo meme, picha halisi
i) Kudalishana hela, Utumaji wa hela
j) Usafiri, ukataji wa tikiti
|