Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Bonyeza kama kauli iliyotolewa ni kweli au la kulingana na Daktari huyu.
Sentensi
Kweli
La
1. Stethoskopu hutimiwa kupima mpigo wa moyo.
>>>
>>>
2. Kipima joto huingizwa nyweleni.
>>>
>>>
3. Nusu kaputi ni kumvisha mtu kabuti.
>>>
>>>
4. Mtambo wa dialisisi husafisha damu.
>>>
>>>
5. Inkubeta huwatunza watoto njiti.
>>>
>>>
6. Uyoka hutumiwa kupiga picha ufuoni.
>>>
>>>
7. Sfimomanometa hutumiwa kupima shinikizo la damu.
>>>
>>>
8. Endoskopu hutumiwa kupima macho.
>>>
>>>
9. Mpira wa skalpcha hutumiwa kunyosha viungo.
>>>
>>>
10. Otoklevia ni kifaa cha kutakasa vyombo.
>>>
>>>