|
Jaza mapengo kwa kuchagua jibu mwafaka.
a) Sharubati hutengenezwa na (kizidua, kisagio nyama).
b) Kivuta vumbi (hunadhifisha mazulia, husafisha dari).
c) Kiosha vyombo (husafisha sufuria, huosha vyombo).
d) Wimbi mikro (hupasha chakula moto, huchemsha ubongo).
e) Kiyoyozi (husafisha hewa, huyeyusha hewa).
f) Vibanzi (hupikwa, hukaangwa).
g) Kibanikio (huchoma nyama, hukaangwa mboga).
h) Dijitali (hutumiwa kwa TV, Maji).
i) Jokofu ni sawa na (friji, kasha).
j) Kichuo (hukanda mwili, hufunza wanachuo).
|