Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Chagua kwa kubonyeza kama ni kweli au la.
Sentensi
Kweli
La
1. Mazingira hutuwezesha kuwa na maisha bora zaidi.
>>>
>>>
2. Ukataji ovyo wa miti hausababishi ukosefu wa tiba zifaazo.
>>>
>>>
3. Bila mafunzo ya mazingira,wanajamii watachangia uharibifu wake zaidi.
>>>
>>>
4. Ili kuhifadhi mazingira, watu hawatakiwi kukata miti yoyote.
>>>
>>>
5. Mazingira ya aina mbalimbali yanatufaa kwa njia tofauti. Kuna aina ya mazingira yasiyokuwa na manufaa kwetu.
>>>
>>>
6. Kutumia mimea,tunaweza kutengeneza sabuni.
>>>
>>>
7. Katiba inahusika katika uhifadhi wa mazingira.
>>>
>>>