Nyuma
Jaribu tena
Hakikisha
Bonyeza jibu sahihi kwa kuchagua kweli au la.
Sentensi
Kweli
La
1. Wananchi wana haki ya kuishi, usawa na uhuru kutokana na katiba.
>>>
>>>
2. Katiba mpya hailindi lugha na utamaduni wa wananchi.
>>>
>>>
3. Bunge ni muhimu katika uundaji wa sheria.
>>>
>>>
4. Wanawake wametengwa na katiba katika maswala ya siasa na uchumi.
>>>
>>>
5. Bunge, mahakama na serikali huunda na kutekeleza uzingativu wa sheria.
>>>
>>>
6. Katiba mpya inatambua haki za watoto.
>>>
>>>
7. Wananchi hawana haki ya kuabudu watakavyo.
>>>
>>>
8. Kuna aina mbili za sheria, za nchi na za kimataifa.
>>>
>>>
9. Katiba imegawa watu katika matabaka.
>>>
>>>
10. Wanawake hawana haki ya urithi.
>>>
>>>