Jaza kwa kuandika jibu sahihi kutoka kwa orodha uliyopewa katika mabano (mmoja, vichache, tatu, mengi, wawili).
a) Wagema hugema katika eneo hili.

b) Vyombo vilisafishwa na wanafunzi.

c) Mafuta yalitumika kupikia.

d) Mshororo umekamilishwa.

e) Nyuso zimepambwa.