Chagua na kuandika kivumishi kisisitizi kinachoafiki nomino uliyopewa
a) Mitume (ii hii zizi hizi wawa hawa) .

b) Kiroboto (yule yule kile kile ule ule).

c) Malaika (yaya haya zizo hizo iyo hiyo).

d) Moto (ii hii uu huu lili hili).

e) Tuzo (lili hili iyo hiyo uo huo).