Vuta na kujaza nafasi wazi kwa kishazi huru kinachofaa kati ya hivi ulivyopewa; (amepongezwa, labda niamke mapema, atashitakiwa, nilimpitia mjomba, ukame utamalizika, mutheu ni mkali sana, lazima nilale mapema).
1. Raia ambaye hajalipa kodi.
2. Ili niamke mapema
3. Mazingira yakihifadhiwa
ijapokuwa anaonekana
nilipokwenda mjini.
atashtakiwa
ukame utamalizika
Mutheu ni mkali
Nilimpitia mjomba
lazima nilale mapema