Vuta na kupachika kitenzi mwafaka cha asili ya kibantu kilicho katika pengo liloachwa wazi kwa kila sentensi.
ni kudurusu maandiko.
usingizi.
ni kupitisha chakula tumboni hadi kooni.
ni kupanda mahali palipo juu.
ni kumlaki mtu.
Kimbilia
Soma
Meza
Kwea
Lala