Ngeli ya ya

Ngeli hii hujumuisha nomino zinazorejelea vitu au matendo ambayo hayabainiki kama yako katika hali ya umoja au wingi na ambazo huchukua kiambishi Ya cha upatanisho wa kisarufi.

mafuta ya petroli yamepanda bei mara dufu.