Ngeli ya a-wa
Ngeli hii hujumuisha nomino zote za viumbe wenye uhai kama vile; nomino zinazorejelea binadamu, wanyama, ndege, wadudu na viumbe dhahania au wa kufikirika kama malaika, shetani. Nomino hizi hulazimisha kiambishi awali katika kitenzi kikuu kuwa a katika umoja na wa katika wingi.
![]() | |
![]() | |
Malaika alimchukua na kupaa naye![]() | |
Malaika waliwachukua na kupaa nao![]() | |
Askofu wanaongoza maandamano ya amani![]() | |
Maaskoafu wanaongoza maandamano ya amanai![]() | |
Mchwa ameonekana katika baraza la nyumba![]() | |
Mchwa wameonekana katika baraza la nyumba![]() |