Oanisha neno na maana yake:-
Aina ya chombo/ zana za kufanyia kazi
Tamko la kukanusha
Sehemu ya mmea inayochanua
Lakini, ingawaje hata hivyo
Kutia chakula kinywani na kumeza
Dosari/kasoro
Toa uhai
Tamko linaloonyesha mshangao
U'a
Ua
A'la
Ala
La'
La
Wala'kini
Walakini