nyuma
jaribu tena
hakikisha
Onyesha maana tatu tofauti(kauli ya taarifa, swali, hisia) zinazotokeza katika sentensi hizi kutegemea matamshi, andika majibu yako kwenye nafasi ulizopewa.
a. Matokeo ya mtihani yamefika
b. Ameshinda milioni moja