nyuma
jaribu tena
hakikisha
Ainisha sentensi zifuatazo kama zinawasilisha ujumbe wa kauli ya taarifa, hisia au swali.
a) i. Matokeo ya mtihani yamefika.
ii. Matokeo ya mtihani yamefika?
iii. Matokeo ya mtihani yamefika!
b) i. Ameshinda milioni moja.
ii. Ameshinda milioni moja?
iii. Ameshinda milioni moja!