Chagua jibu mwafaka kati ya yale uliopewa kujaza pengo.

1. Tofauti kati ya shadda na kiimbo ni kuwa shadda huzingatia mkazo katika .ilhali kiimbo huzingatia mkazo katika
.(silabi, sentensi: Sentensi, silabi: fungu la maneno, fungu la sentensi: fungu la sentensi, fungu la maneno)
2. Kiimbo na shadda ni muhimu katika mawasiliano kwa kuwa ;
(a) Shadda hutuwezesha kujuaanayodhamiria msemaji katika neno
.(maana , anapotamka : kubainisha , sentensi)
(b)Kiimbo hutuwezesha anacholenga kuwasilisha mzungumzaji katika
.(maana , anapotamka : kubainisha , sentensi)