Ebu tazama maneno yafuatayo na kwa kifupi ueleze ya na sifa gani. Bonyeza jibu sawa kati ya yale uliyopewa.
Baba Papa
Ngoa Ng'oa
Faa Vaa
Doa Ndoa
Paka Baka
Kupwa Kubwa
  
Maneno haya yanakaribiana kimatamshi japo maana ni tofauti.
  
Maneno haya hayakaribiani kimatamshi japo maana ni tofauti.
  
Maneno haya yanakaribiana kimatamshi japo maana ni sawa