Chagua neno linalofaa kati ya yale uliyopewa katika mabano na ujaze pengo ili kukamilisha sentensi zifuatazo.
1.     la njaa limekumba nchi yetu.(Paa,Baa)
2. Ukiwa na pesa    mkutanoni(janga,changa)
3.Asiyekujua     (hakuthamini,hakudhamini).
4.Kupanda mchongoma    (kushuka, kusuka) ndio ngoma.
5.Lo! Muujiza ng'ombe amemwanambuzi(saa, zaa).
6.Mtungi umepasuka na petroli yote    (imevuja, imefuja).