Onyesha kipande cha kwanza na kipande cha pili katika methali zifuatazo, andika majibu yako kwenye nafasi ulizopewa.
i. Vita havina macho
    
ii. Chovya chovya humaliza buyu la asali
    
iii. Kuteleza si kuanguka
    
iv. Chururu si ndo ndo ndo
    
v. Ngoja ngoja huumiza matumbo
    
vi. Mwenye macho haambiwi tazama