Oanisha picha na jibu sahihi kwa kubonyeza kidude
Hasira za mkizi furaha ya mvuvi
   
Mchumia juani hulia kivulini
   
Mchagua jembe si mkulima
  
Jifya moja haliinjiki chungu
  
Aliye kando haangukiwi na mti