Kamilisha methali zifuatazo.
1. ndiye mla nyama 2. mwerevu yu mashakani 3. wana wa ndege huyumba
4. huitambui ijapo 5. hajinyoi 6. faraja
i. Baada ya dhiki    
ii. Mti mkuu ukigwa    
iii. Mjinga akierevuka    
iv. Kinyozi    
v. Riziki kama ajali    
vi. Simba mwenda pole