Onyesha kama methali hizi zimepigwa chuku au la kwa kutumia neno ndiyo au la;-

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

i. Ngoma ikivuma sana hupasuka.
ii. Wema hauozi.
iii. Utamu wa kidonda umemuua nzi.
iv. Maneno matamu humtoa nyoka pangoni.
v. Njia mbili zilimshinda fisi.
vi. Sikio la kufa halisikii dawa.
vii. Liandikwalo halifutiki.
viii. Kamba hukatikia pabovu.