Onyesha kama ni kweli au si kweli kuhusiana na methali hizi.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

i. Methali hupamba lugha
ii. Methali hupotosha jamii
iii. Methali hukashifu mienendo isiyofaa.
iv. Methali hupendekeza viongozi watukuzwe
"v. Methali hutahadharisha jamii.
vi. Methali huburudisha
vii. Methali hazina umuhimu siku hizi
viii. Methali ni kipera cha semi