nyuma
jaribu tena
hakikisha
Tumia mkwaju(/) kutenganisha silabi katika maneno yafuatayo:-
i.
mahari
ii.
kiatu
iii.
kula
iv.
au
v.
pendwa
vi.
mtu
vii.
bingwa
viii.
kimya
ix.
ngeli
x.
hashindwi