Oanisha sentensi na picha kwa kuvuta sentensi hadi iwe mkbala na picha husika:-

Vijana wanacheza mpira
Wazazi hawashindwi kuwalea watoto
Mjomba amevaa kanzu
Unafaa kuwa kimya katika maktaba
Kila mtu anapenda kuwa bingwa