Je maneno haya yana uhusiano gani?Andika majibu yako kwenye nafasi zilizopo.
1. Kimbia, cheka, lima, lala, andika.         
    
2. Nairobi, mama, soko, Jane, gari.        
    
3. Mzuri, bora, yetu, safi, maridadi.