nyuma
jaribu tena
hakikisha
1. Bainisha mzizi katika vitenzi vifuatavyo:-
-Wanacheza
-Anakufuata
-Ninakupenda
2. Onyesha viambishi awali katika vitenzi hivi:-
-Anakuangalia
-Vinasomwa
-Kimeiva
3. Dhihirisha viambishi tamati katika vitenzi hivi:-
-Wanaangaliana
-Ameangukia
-Vimepatikana