nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua kivumishi kifaacho katika sentensi hizi
1. Maji
yamemwagika(meupe, machafu, matatu)
2. Chakula
kimeisha(kitamu, chambamba, kirefu)
3. Wanafunzi
wamefika(mmoja, mbaya, wengi)
4. Ng'ombe
amechinjwa(nono, mnono, mnene)