nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza pengo kwa kiambishi sahihi ili kuleta upatanisho wa kisarufi katika sentensi zifuatazo.
i.Mkulima
napalilia shamba.
ii.Wakulima
napalilia shamba.
iii.Chakula
meandaliwa.
iv.Vykula
meandaliwa.
v.Mlima
na theluji nyingi.
vi.Milima
na theluji nyingi.
vii.Tunda
meiva.
vii.Matunda
meiva.