Ngeli ya i
Ngeli hii hujumuisha nomino ambazo hazihesabiki na zinazochukua kiambishi I cha upatanisho wa kisarufi..