Ngeli ya ku

Ngeli hii hujumuisha nomino zinazotokana na vitenzi. Aghalabu nomino hizi hurejelewa kama nomino-kitenzi na huchukuwa kiambishi ku cha upatanisho wa kisarufi.